Wednesday, April 18, 2012

PICHA ZA WATANGAZAJI WA CLOUDS FM KWENYE UZINDUZI WA AZIMIO LA APRIL DAR ES SALAAM.

Hii ndio Helcopter iliyokua imewabeba Kibonde na Bonge na wakawa wanazunguka nayo asubuhi katika jiji la Dar es salaam na kutoa ripoti wakiwa hukohuko angani.
Watangazaji Gerrard Hando na Paul James wa POWER BREAK FASTwakitangaza Live huku Helcopter waliyokuwemo Kibonde na Bonge ikipita juu yao, ni katika AZIMIO LA APRIL lilozinduliwa leo kwa ajili ya kuleta mabadiliko yenye tija zaidi ya kwa kila anaeisikiliza CLOUDS FM.
Paul James, Barbara Hassan, Hando na mwanafamilia wa Clouds fm.
.
Jimmy Producer wa POWER BREAKFAST, Bonge, Barbara, Hando, mwanafamilia na Kibonde.
Dina Marios na Gea Habib.
Adam Mchomvu, B12 na Dj Fetty wakiwa wameandika XXL kwa kutumia mikono yao.
Millard Ayo akifanya interview na mmoja kati ya wasikilizaji wakubwa wa CLOUDS FM, anaitwa Bilaved Fernando mwenye umri wa miaka 50 ambae ameanza kuisikiliza CLOUDS FM miaka minne iliyopita.

0 comments: